Ssumukuvu aina ya “aflatoxin” yasababisha vifo 8 nchini

Sehemu ya wajumbe wakifuatilia mada katika semina ya kudhibiti sumukuvu wilayani Kiteto leo

Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mhandisi
Tumaini Magesa akifungua semina ya kuelimisha wadau wa kilimo na mifugo
wa Mkoa wa Manyara kuhusu udhibiti wa tatizo la sumukuvu.Semina
imefanyika Kiteto  kupitia mradi wa TANIPAC.
Picha ya pamoja ya wadau walioshiriki semina ya kuelimisha jamii kudhibiti tatizo la sumukuvu wilayani Kiteto leo
Mratibu wa
Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu nchini Clepin Josephat akitoa taarifa
kuhusu namna mradi utafanya kuelimisha jamii kudhibiti tatizo hili
Tanzania Bara na Zanzibar.Mradi wa TANIPAC unatekelezwa kwa miaka mitatu
kwa gharama ya Bilioni 45.
Picha zote na Wizara ya Kilimo.