Na Mwandishi Wetu, APC BLOG, ARUSHA
Wafanyakazi
zaidi ya 100 wakiwemo 22 waliofukuzwa kazi hivi karibuni bila kulipwa
stahiki zao, na uongozi wa hoteli ya Naura Spring Jijini hapa wamemwomba Rais John Magufuli kusikia kilio chao cha muda
mrefu baada ya kukosa msaada kwa uongozi wa mkoa kutokana na mkurugenzi
wa hotel hiyo, Randy Mrema kudaiwa kuwaweka
mfukoni

Wakiongea
kwa masikitiko baadhi ya wafanyakazi hao waliodai kufanyakazi kwa zaidi
ya miaka kumi,wamesema kuwa uongozi wa hotel hizo uliwaandikia barua ya
ukomo wa ajira Ifikapo oktoba 31 mwaka huu kwa kile kilichodaiwa ni
kampuni kushindwa kujiendesha .

“Kutokana
na hatua hiyo walipaswa kuandaa malipo yetu ikiwemo mishahara ya miezi
minne tunayoidai ,makato ya NSSF na malipo ya kusitisha ajira kuliko
walivyofanya kwa sasa na kusababisha familia zetu kuteseka kwa
njaa,”walisema.

kwa niaba ya wenzao baadhi ya wafanyakazi waliofukuzwa kazi, Grayson
Mwanga na Kisuno Bernard wamedai kwamba uongozi wa hotel hizo umeshindwa
kuwalipa stahiki zao na wamekuwa wakiwadharau wafanyakazi pindi
wanapoulizia malipo ya mishahara yao.

“Hapa
tulipo hatujalipwa mishahara ya miezi minne ,makato ya mfuko wa hifadhi
nssf ambayo wamekuwa wakikatwa kila mwezi lakini mwajiri wao hapeleki
kwenye mfuko huo jambo ambalo tunataka rais Magufuli aingilie kati”
Wamesema Mwanga.

Wamemtuhumu
mkurugenzi wa Hotel hizo,Randy Mrema kuwa na mahusiano na viongozi
wote wa mkoa wa Arusha ,wakiwemo wa idara ya kazi jambo ambalo wamekosa
mtu wa kusikiliza kilio chao na hivyo kumtaka rais Magufuli,TAKUKURU
idara ya usalama,waziri mwenye dhamana, kuingilia kati kuchunguza jambo
hilo.

“Awali
Mkuu wa wilaya ya Arusha Gabriel Daqaro alitusaidia sana na kuwezesha
kulipwa kwa mishahara ya nyuma lakini naye kwa sasa amejiweka kando na
suala letu hali ambayo tumekosa mtu sahihi wa kutusaidia” Alisema Mwanga

Akiongea
sakata hilo afisa wa Idara ya kazi Mkoa wa Arusha, Wilfred Mdumi
anayedaiwa kuwekwa mfukoni na mkurugenzi wa hotel za Impala na Naura,
amekanusha kurubuniwa kwa kitita cha fedha na kigogo huyo ili apindishe
haki ya walalamikaji,ila amesema kuwa suala hilo analishughulikia kwa
umakini mkubwa kwa mujibu wa Sheria za kazi.

”
Tumefanya mazungumzo na uongozi wa hotel hiyo na kutoa maelekezo lakini
kumekuwepo na suala la utovu wa nidhamu kwa wamiliki wa hotel hizo
kukiuka makubaliano ya wazi”Amesema Mdumi

“Ofisi
yangu imewashauri wafanyakazi hao pamoja na wale walioachishwa kazi
kufungua kesi mahakamani kulalamikia kuachishwa kazi bila kupewa stahiki
zao ikiwemo kukatwa makato ya mfuko wa hifadhi wa NSSF bila kupelekwa
katika mfuko huo”amesema Mdumi

Wanahabari
walipomtafuta Mkurugenzi wa hotel hizo RANDY MREMA kupata ufafanuzi wa
jambo hilo ,mkurugenzi huyo hakutoa ushirikiano badala yake alitimua
mbio na kuingia kwenye gari lake la kifahari na kutokomea kusikojulikana
na kuwaacha waandishi waliokuwa wamejazana katika hotel ya Impala
wakishangaa

Amesema
mpaka sasa wamepeleka maombi Mahakamni kuomba itoe amri kukamatwa kwa
Mali za kampuni hizo ili iweze kulipa mishahara baada ya kushindwa
kutekeleza Maelekezo ya Idaya ya kazi mpaka sasa kampuni hizo zina
kabiliwa na kesi namba 83 / 2019/ kwa Naura Spring na Impala kesi namba
84 / 2019 kwa impala Hotel

Afisa wa Idara ya kazi Mkoa wa Arusha, Wilfred Mdumi akiwa ofisini kwake
baadhi ya wafanyakazi wakionyesha barua walizosimamishiwa nazo kazi