Jeshi
la polisi mkoa wa mwanza kwa kushirikiana na vyombo vingine vya
usalama limefanikiwa kuwakamata watu saba kwa tuhuma za kujifanya
maofisa wa usalama wa taifa kutoka ikulu, ambao hivi karibuni wamekua
wakiwatapeli wananchi na baadhi ya watumishi wa serikali katika jiji la
mwanza kwa kujifanya wako katika kazi maalum na kuwajengea hofu ya
kiutendaji na kujenga mazingira ya vitendo vya rushwa suala ambalo
haliwezi kukubalika na kupewa nafasi katika jamii inayofuata mfumo wa
utawala wa sheria.

Matukio
hayo yametokea kati ya tarehe 27.12.2019 02.1.2020 hasa maeneo ya
nyakato wilayani nyamagana, na taarifa zilipopatikana kuwa wanatumia
gari lenye na,T.751 BNL aina ya toyota Ambulance ambalo walidai ni
sehemu ya msafara wa viongozi wakuu walikamatwa na makachero na
wakaendelea kijitambulisha kuwa wao ni maofisa usalama wa taifa toka
ikulu lakini walipohojiwa kwa kina ilibainika ni matapeli wenye lengo la
kuwababaisha watu kwa malengo binafsi.

Watuhumiwa waliokamatwa ni:-
- Chalanga Wiliam Chalanga, miaka 45, mkazi wa Pasiansi Mwanza na Arusha.
- Hamis Seleman mwalimu, miaka 25, huyu ni fundi magari ma hujifanya Bodyguard wa Chalanga Wiliam Chalanga
- Philipo Petro, miaka 35, mkazi wa Usagara Misungwi pia ni dereva wa Chalanga Wiliam Chalanga.
- Elia Vicent Gunda, miaka 30, anadai yeye ni mchungaji wa kanisa la EAGT lililopo Kisesa, mkazi wa Kisesa,
- Hassan Mohamed Juma, miaka 29, mkazi wa Mkolani, fundi wa IT
- Selemani Joramu Karanga, miaka 25, anajifanya mlinzi wa Chalanga Wiliam Chalanga anayejifanya ni afisa mkuu wa Ikulu.
- Michael Richard Mazige mkazi wa Morogoro.
Pia,
amekamtwa tapeli mwingine ambaye alikuwa akiwapigia watu simu na
kujifanya kuwa yeye ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza, mtu huyu baada
ya kukamatwa amefahamika kwa jina la Ashery Justol @ Mnazi, miaka 30,
mfipa, mkristo, mkazi wa Igoma Mwanza, kabla ya kukamatwa alikuwa
akiwapigia simu watu mbalimbali na kuwatumia ujumbe mfupi (sms) baadhi
ya watu huku akiwaaminisha kuwa yeye ndiye Kamanda wa polisi mkoa wa
Mwanza na kuwaeleza amepatwa na matatizo ya kijamii hivyo kuwataka
washiriki kwa kumchangia fedha au vitu huku akidai mazingira aliyopo
hawezi kuongea ila watume pesa au watumie ujumbe mfupi (sms) kuwasiliana
nae.

Mtuhumiwa
huyu alichukua picha ya kamanda Muliro kwenye mtandao yenye sare za
jeshi la polisi na kuiweka kwenye profile yake ya whatsapp kisha
kuwapigia simu na kuwatumia ujumbe mfupi (sms) kwenye whatsapp.

Askari
walifanya ufuatiliaji wa haraka baada ya kupata taarifa hizo na
kufanikiwa kumkamata mtuhumiwa husika. Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza
linaendelea kuwatahadharisha wananchi kuwa macho na makundi ya matapeli
ambao sasa wanaibuka na kutumia majina ya viongozi kutapeli watu.

Wito
wa jeshi ni kuwa wakitilia mashaka mtu yeyote watoe taarifa haraka
polisi ili hatua za haraka zichukuliwe. Watuhumiwa wote watafikishwa
mahakamani haraka iwezekanavyo.

Tukio la pili:-
Mganga wa kienyeji atuhumiwa kumbaka mgonjwa wake
Jeshi
la polisi mkoa wa Mwanza limemkamata na linaendelea kumshikilia mtu
mmoja aliyefahamika kwa jina la Hemed Jumanne, miaka 40, Muha, Muislam,
mkazi wa Sengerema, anayedaiwa kuwa mganga wa kienyeji, kwa tuhuma za
kumbaka mwanamke mmoja jina limehifadhiwa miaka 32, mchaga, mkristo,
mkazi wa Butimba.

Tukio
hilo limetokea tarehe 04.01.2020 majira ya 07:00hrs asubuhi huko mtaa
wa Jiwe, kata ya Igogo wilaya ya Nyamagana, hii ni baada ya mhanga
kufika kwa mganga tajwa hapo juu kwa lengo la kupata tiba ya maradhi
yanayomsumbua, ndipo mganga aliingiwa na tamaa ya kimapenzi na baadae
alimpa dawa za kumpumbaza kisha kumbaka kwa kuweka baadhi ya dawa za
kienyeji kwenye sehemu za siri za mwanaume (mganga) na baadae kuingiza
sehemu za siri za mwanamke kama sehemu ya matibabu kitendo hiki cha
kikatili cha kubaka hakivumiliki, ni cha kinyama na ni kosa la jinai.

Muhalifu huyu atafikishwa mahakamani haraka iwezekanavyo.
Mhanga ametibiwa hospitali na hali yake inaendelea vizuri. Kwani ameruhusiwa .
Jeshi
la polisi linatoa wito kwa wananchi kujiepusha na makundi ya wahalififu
wanaotumia mwavuli wa uganga wa jadi kutapeli watu na kufanya vitendo
vingine vya kijinai