Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Viwanda Vidogo Dkt. Consolata Ishebabi akizungumza wakati
akifungua mafunzo ya KAIZEN kwa watumishi wa Wizara hiyo mafunzo
yanayolenga kuongeza ubora kazini, yaliyofanyika leo Februari 23,2021
katika ukumbi wa Chuo cha Biashara (CBE) jijini, Dodoma.

Mkufunzi
wa KAIZEN ambaye pia ni Meneja wa SIDO wa Mkoa wa Dodoma Bw. Sempeho
Manongi akitoa mada kuhusu Utekelezaji wa KAIZEN kwa watumishi wa Wizara
ya Viwanda na Biashara mafunzo yaliyofanyika leo Februari 23,2021

Baadhi
ya washiriki wa mafunzo ya KAIZEN kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara
wakifuatilia maada zilizokuwa zikiwasilishwa na wakufunzi wakati wa
mafunzo ya KAIZEN yaliyofanyika leo Februari 23,2021 katika ukumbi wa
Chuo cha Biashara (CBE) jijini, Dodoma.
ya washiriki wa mafunzo ya KAIZEN kutoka Wizara ya Viwanda na Biashara
wakifuatilia maada zilizokuwa zikiwasilishwa na wakufunzi wakati wa
mafunzo ya KAIZEN yaliyofanyika leo Februari 23,2021 katika ukumbi wa
Chuo cha Biashara (CBE) jijini, Dodoma.
Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Viwanda Vidogo Dkt. Consolata Ishebabi wa pili kutoka kulia
waliokaa akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo hayo mara
baada ya kumalizika kwa ufunguzi wa mafunzo hayo yaliyofanyika leo
Februari 23,2021 katika ukumbi wa Chuo cha biashara (CBE) jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna,Dodoma
Kaimu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Dkt. Consolata Ishebabi amewaasa
watumishi wa Wizara ya Viwanda kutumia mafunzo ya KAIZEN katika kuongeza
tija na ubora katika utendaji kazi na katika majukumu yao ya kila siku.

huyo ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Viwanda Vidogo
wa Wizara ya Viwanda na Biashara ameyasema hayo Jijini Dodoma katika
ufunguzi wa mafunzo ya KAIZEN kwa watumishi wa Wizara hiyo yaliyofanyika
leo katika Chuo cha Biashara CBE jijini Dodoma, amesema kuwa mafunzo
hayo yanalenga kuwawezesha watumishi wa wizara kubadili mtazamo,
kuongeza tija uwajibikaji na ubora mahala pa kazi.

”
Tuiweke KAIZEN katika mipango yetu kuanzia ofisini hadi katika familia
zetu ili kuongeza tija na ubora katika utendaji kazi na maisha yetu ya
kila siku na tujipime kwa kutumia vipimo vya utumishi kama OPRAS” .
amesema Dkt Ishebabi.

Aidha,
Mkurugenzi huyo amewasisitiza watumishi hao kutumia S tano ( 5) ambazo
ni Sasambua (Sort), Seti (Seti), Safisha (Shine), Sanifisha
(Standardize) na Shikilia (Sustain) katika kutekeleza KAIZEN mahala pa
kazi na kwenye maisha yao ya kila siku.

Amesema
mafunzo hayo pia yanalenga kuongeza ufahamu kuhusu mfumo wa falsafa ya
uongezaji thamani endelevu wa tija na ubora viwandani ili waweze
kushiriki kikamilifu katika kufanikisha utekelezaji wa falsafa hiyo
katika sekta wanazozihudumia.

Dkt.
Ishebabi pia amesema mafunzo hayo yanaongozwa na kauli mbiu isemayo
“KAIZEN kwa Tanzania ya Viwanda Shindani kwa Maendeleo Shirikishi”.

kauli
mbiu hiyo inaendana na azma ya Serikali ya awamu ya tano inayodhamiria
nchi yetu kuwa na uchumi wa kati wa Viwanda ifikapo mwaka 2025.

Mradi
wa KAIZEN inayofadhiliwa JICA unalenga kuongeza tija na ubora katika
sekta ya viwanda na shughuli za maisha ya kila siku inaongozwa na
misingi ambayo ipo katika ubunifu wa mawazo, maarifa na ushiriki wa kila
mtu ndani ya taasisi, shirika au kampuni.

KAIZEN
ni neno la kijapani lenye maana ya badilika kwa ubora / uzuri
linalohusu shughuli endelevu zinazofanyika ili kuboresha kazi mifumo
michakato na nyanja yoyote ya kuendesha biashara.

KAIZEN asili yake ni Japani lakini sasa inatekelezwa Duniani kote.