Breaking : rais magufuli amteua hasimu wa lowasa, amfukuza kazi mkuu wa mkoa wa morogoro, kapilimba aambulia ubalozi

Loota Sanare, Mkuu mpya wa Mkoa wa Morogoro




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa Septemba 20,2019 amefanya Mabadiliko
na Kuteua Viongozi wengine katika baadhi ya Nafasi mbalimbali katika
Serikali. 





Uteuzi unatangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. John Kijazi.


Rais Magufuli amemteua Loata Sanare ambaye ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa
Arusha kuwa  Mkuu wa mkoa wa Morogoro,nafasi ambayo ilikuwa inashikiliwa
na Stephen Kebwe.
Rais Magufuli leo Ijumaa Septemba 20,2019 ameteua viongozi wengine mbalimbali