Habari Mkuu wa mkoa wa shinyanga mpya anamringi macha akabidhiwa ofisi rasmi Mwandishi Wetu18 March 202424 June 2024 Naibu katibu mkuu, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Christina Mndeme akikabidhi nyaraka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha.Picha na Mapuli Kitina MisalabaMkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akipokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Mhe. Joseph Mkude, baada ya Mhe. Macha kuwasili Mkoani Shinyanga leo Marchi 18,2024. Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha akipokelewa na mjumbe wa Halmashauri mkuu ya Taifa CCM (NEC) Gasper Kileo baada ya kuwasili Mkoani Shinyanga. Katibu wa CCM Mkoa wa Shinyanga Bi. Odilia Batimayo upande wa kulia akimpokea Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha baada ya kuwasili Mkoani Shinyanga kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Shinyanga mpya amewasili leo March 18,2024 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Shinyanga mpya amewasili leo March 18,2024 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Shinyanga mpya amewasili leo March 18,2024 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Shinyanga mpya amewasili leo March 18,2024 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu yake. Naibu katibu mkuu, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Christina Mndeme akikabidhi nyaraka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Naibu katibu mkuu, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Christina Mndeme akikabidhi nyaraka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Naibu katibu mkuu, ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Christina Mndeme akikabidhi nyaraka kwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha. Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Karani wa ikwabansabo amcos kwa tuhuma za kutoroka na milioni 15 za wakulima wa pamba Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri akiwahutubia viongozi na wafanyakazi wa Wilaya ya Nzega hivi karibuni wakati wa mkutano…
Mmiliki mabasi ya sahara akutwa amekufa gesti Mfanyabiashara na mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) mkazi wa Usangi Mkoani Kilimanjaro, leo Jumapili Januari 5, 2020…
Mawaziri wa kazi na ajira sadc waipongeza tanzania kutekeleza programu ya ukuzaji wa ujuzi kwa vijana Na: Mwandishi Wetu Mawaziri na Wadau wa Utatu wa Nchi Wananchama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) sekta…