Habari Picha : muonekano wa uwanja wa majengo, moshi baada ya ibada ya mtume mwamposa kukanyaga mafuta ya upako Mwandishi Wetu3 February 2020 Muonekano wa Uwanja wa Majengo, Moshi baada ya ibada ya jana iliyoongozwa na Mtume Boniface Mwamposa kugeuka vilio baada ya watu 20 kufariki dunia walipokanyagana wakipita kwenye ‘mafuta ya upako’. Barua pepe Nimeafiki sera ya faragha
Jeshi la polisi mkoa wa shinyanga linawashikilia watu wanne, vitu na vielelezo mbalimbali vyakamtwa Na Mapuli Misalaba, Shinyanga Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga linawashikilia watuhumiwa wanne ambao wanaosadikiwa kuhusika na mtandao wa wakata…
Rc mtaka akipongeza chuo cha dodoma vocational training centre kwa kutoa ujuzi MKUU wa Mkoa wa Dodoma,Anthony Mtaka ,akizungumza na wahitimu katika Mahafali ya tano ya Chuo cha Dodoma,Vocational Training Centre…
Mawakala wanaotumiwa na wazalishaji wa vifaranga vya kuku wakamatwe kama hawajasajiliwa-ndaki Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe.Mashimba Ndaki akizungumza na wauzaji wa kuku wa nyama na wazalishaji wa vifaranga baada…