Na Mwandishi Wetu,MAELEZO
RAIS
Dkt. John Magufuli amelitaka Jeshi la Magereza Nchini kutathimini
utendaji kazi wake kutokana na mwenendo usioridhisha wa jeshi hilo
katika kutekeleza miradi mbalimbali inayopewa na Serikali.

Akizungumza
katika hafla ya uzinduzi wa Nyumba za Makazi ya Maafisa na Askari wa
Jeshi hilo, leo (Alhamisi Januari 23, 2020) Ukonga Jijini Dar es Salaam,
Rais Magufuli alisema ameshangazwa na kasi isiyoridhisha ya utekelezaji
wa miradi katika jeshi hilo licha ya kuwa na ukubwa wa kambi 129
nchini.

Akitolea
mfano Rais Magufuli alisema Jeshi la Magereza lina jumla ya kambi 129
huku Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) likiwa na kambi 24 tu, lakini
ameshangazwa na Magereza kujengewa nyumba za askari wake na JKT huku
akishindwa kutumia nguvu kazi ya wafungwa walionao katika magereza
mbalimbali nchini.

‘’Baada
ya kutoa msamaha wa wafungwa zaidi ya 5000, sasa hivi katika magereza
yote nchini kuna zaidi ya wafungwa 13,000 lakini tunashindwa kujenga
nyumba za askari wetu, udongo kutoka kwa mungu tunao, hamna budi
kujipanga na kuweka mikakati ili kuimarisha makazi ya askari ambao
wanateseka’’ alisema Rais Magufuli.

Alisema
mwezi Machi 2016 Serikali ilitoa kiasi cha Tsh Bilioni 10 kwa ajili ya
ujenzi wa nyumba za askari magereza katika eneo la Ukonga Jijini Dar es
Salaam na kutoa zabuni hiyo kwa Jeshi hilo pamoja na Wakala wa Majengo
Tanzania (TBA), ambapo pamoja kutumia miezi 27 walishindwa
kuikamilisha kazi hiyo kwa kufikia asimilia 40-45 ya ujenzi wake.

Akifafanua
zaidi alisema kutokana na kutoridhishwa na kasi hiyo, Serikali iliamua
kuipa zabuni ya ujenzi wa mradi huo huo, Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)
ambapo ndani ya kipindi cha miezi 6 kuanzia mwezi Machi hadi Desemba
mwaka 2019 ilikamilisha asilimia 55 ya ujenzi mradi huo kwa kutumia
kiasi cha Tsh Bilioni 3 na kufanya mradi wote kutumia Tsh Bilioni 13.

Alibainisha
kuwa ipo baadhi ya miradi mikubwa inayosuasua kutekelezwa na Jeshi
hilo, ikiwemo Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Viatu katika Gereza la
Karanga unaojengwa kwa ubia baina ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa
Watumishi wa Umma (PSSSF) na Jeshi la Magereza Nchini, ambao hadi sasa
ujenzi wake hauridhishi kwani hakuna hata jengo moja lililokamilika hadi
sasa.

‘’Mashine
za kiwanda kile tayari zimewasili katika Bandari ya Dar es Salaam,
lakini hadi sasa ni jengo moja tu lililofikia asilimia 49 ya ujenzi
ndilo limesimama, sasa hizo mashine zitaenda kufungwa wapi, Mkataba wa
Bilioni 9 umesainiwa, na ni mradi wenye ubia, kwa nini tunakwama’’
alisema Rais Magufuli.

Aidha
Rais Magufuli aliipongeza JKT kutokana na kazi kubwa na nzuri
inayofanya katika kusimamia na kutekeleza miradi mikubwa nchini ikiwemo
ujenzi wa ukuta wa Mererani, Ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma na Ukuta
wa Ikulu Dodoma wenye urefu wa Kilometa 27, na kulitaka Jeshi la
Magereza kuiga mfano huo katika kujenga na kuboresha nyumba za makazi ya
askari wa Jeshi hilo.

Kwa
upande wake, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Hussein
Mwinyi alisema Wizara yake inatambua juhudi kubwa zinazofanywa Rais Dkt.
John Magufuli katika kuimarisha na kuboresha maslahi ya Maafisa na
Askari wa Majeshi ya Vikosi vya Ulinzi na Usalama nchini ikiwemo ujenzi
wa nyumba za makazi ya askari.

Waziri
Mwinyi alisema katika Makazi hayo, yenye jumla ya ghorofa 12 zikiwemo
ghorofa 8 za makazi askari na ghorofa 4 za makazi ya maafisa, zina jumla
ya nyumba 172 zenye uwezo wa kutunza familia za maafisa na askari wa
vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama.