Rrais magufuli amjulia hali askofu yuda thadeus ruwa’ichi moi

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana kwa furaha na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es
Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi ambaye anapatiwa matibabu katika
Taasisi hiyo ya Mifupa Muhimbili  (MOI) mara baada ya kufanyiwa upasuaji
wa Kichwa

akiongoza sala ya kumuombea Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es
Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi ambaye anapatiwa matibabu katika
Taasisi hiyo ya Mifupa Muhimbili  (MOI)

Askofu
Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi
akimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
John Pombe Magufuli ambaye alienda kumjulia hali katika Taasisi hiyo ya
Mifupa Muhimbili  (MOI). Wakwanza kulia ni Askofu Msaidizi Eusebius
Nzigilwa wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, kushoto ni Padre Dkt.
Alister Makubi Paroko wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es salaam
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar
es Salaam kulia, Padre Dkt. Alister Makubi kushoto, Paroko wa Kanisa
Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es salaam
wakifurahia jambo pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es
Salaam Mhashamu Yuda Thadeus Ruwa’ichi ambaye hali yake imezidi
kuimarika mara baada ya kufanyiwa upasuaji katika taasisi hiyo ya MOI.
PICHA NA IKULU