Utambulisho

Balozi
wa Tanzania nchini Kenya Dkt . Pindi Chana akiwasilisha hati za
utambulisho ofisi za Umoja wa Mataifa Nairobi, Kenya kuwa mwakilishi wa
kudumu wa Tanzania katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi (UN
Habitat) na Mazingira (UNEP).Kushoto ni Maimunah Mohd Sharing,Mkurugenzi
Mtendaji, UN-Habitat.