Mbunge
wa Jimbo la Rombo, Joseph Selasini, leo Aprili 28, 2020 ametangaza
rasmi kukihama Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kujiunga
na chama cha NCCR-Mageuzi baada ya kumalizika kwa vikao vya Bunge.

Jana,
Selasini alidai kutengwa na wabunge wenzake wa chama chake cha CHADEMA
ikiwemo kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye ‘Group la WhatsApp’ la
Wabunge wa chama hicho ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama Freeman
Mbowe