Kamati ya Amani mkoa wa Mbeya wameipongeza Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kutoa elimu juu ya utumiaji wa huduma za
mawasiliano kwa kujinga na Uhalifu unapotumia hudima hizo.

TCRA iko katika Kampeni ya Sirubuniki kuwa Mjanja ambayo umeanza mkoani Mbeya ambayo itazunguka nchi nzima kutoa elimu hiyo.
Viogozi
wa dini wa Kamati Amani Mkoa wa Mbeya wamesema Kampeni hiyo umefika
wakati mwafaka kutokana na sekta ya Mawasiliano kukua kwa kasi .

Viongozi
hao wamesema elimu waliopata TCRA wataipeleka kwa waumini wao katika e
ya kujikinga na uhalifu wanapotumia huduma za mawasiliano.

Viongozi hao wamedai kuwa ni kupeleka elimu waumini ikiwa mchango wao kwa ustawi wa nchi yetu
Wameyasema
hayo walipokuwa semina ya kuelimisha jinsi ya kujikinga na uhalifu
wakati wa kutumia huduma za mawasiliano ikiwa ni sehemu ya kampeni ya
Sirubiniki Mjanja haingizwi chaka inayolenga katika kuelimisha umma
ya kujikinga.

Mkuu wa Nyanda za Kusini Asajile John akizungumza na Kamati ya Amani Mkoa wa Mbeya kuhusiana na Kampeni ya Sirubuniki kuwa Mjanja ya Uhalifu katika Semina iliyofanyika jijini Hapa. |
Akichangia
mada Sheikh wa Wilaya Abdallah Omari amesema semina hiyo ni kuwapongeza
TCRA katika kuwalinda wateja na kuahidi kushiriki katika kampeni
hiyo.

Mmoja wa Viongozi
wa Dini Askofu wa Msaidizi wa Anglican Daud Sichinga ametoa wito kwa
taasisi nyingine kuiga mfano wa TCRA katika kuelimisha umma kwani
viongozi wa dini wanawafuasi wengi na ushawishi mkubwa katika jamii.

Kampeni
ya Sirububiki Mjanja haingizwi chaka imeandaliwa na Mamlaka ya
Mawasiliano kushirikiana na Jeshi la polisi kitengo cha uhalifu
mitandaoni yenye lengo la kuelimisha jamii jinsi ya kujikinga ili
wasirubuniwe wanapotumia huduma za mawasiliano.

Kampeni ya Sirububiki Mjanja haingizwi chaka inalenga kuzifikia kamati za Amani za mikoa yote ya Tanzania
Kamati
za Amani za mikoa ni kamati za viongozi wa dini na madhehebu
mbalimbali ambazo zimeundwa kwa lengo la kujenga maridhiano kwa watu
wa dini mbalimbali

Nae
Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini wa TCRA Asajile John amesema kuwa
viongozi wa dini ni watu mhimu sana katika kutoa elimu kwa waumini.

Amesema kuwa huduma za mawasiliano ni pana sana na teknolojia yake inabadilika kila siku
John amesema TCRA itaendelea kutoa elimu kuhusiana na matumizi ya Mawasiliano kuhakikisha yanakuwa salama kwa ustawi wa nchi.
Nae
Afisa Mawasiliano Mwandamizi wa TCRA Mabel Masasi amesema kuwa
wanafikia makundi yote katika Kampeni ya Sirubuniki kuwa Mjanja.

Amesema
wakati amefikia wa kutumia mawasiliano kwa kulinda usalama wa nchi
pamoja na wanatumia mawasiliano vibaya mkono wa sheria utawakuta.

Baadhi wa wajumbe wa Kamati ya Amani Mkoa wa Mbeya wakiwa katika Semina ya TCRA ya Kujikinga na Uhalifu unapotumia huduma za mawasiliano ikiwa ni Kampeni ya Sirubuniki kuwa Mjanja. |
Askofu Msaidizi, Kanisa la Anglican Mbeya Daud Sichinga akichangia mada katika Semina ya Kamati ya Amani Mkoa wa Mbeya |