Category: Habari
Taasisi zote za Serikali zapewa Miezi sita kujiunga mfumo wa Serikali Mtandao (e-GA).
Na, Egidia Vedasto,APC Media, Arusha. Taasisi zote za umma zimepewa muda wa miezi sita(6) kuhakikisha zinakuwa katika mfumo wa pamoja…
Kesi ya DRC dhidi ya Rwanda yaanza kusikilizwa Mahakama ya Afrika
Na Seif Mangwangi, Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya watu na Haki za Binaadam (AfCPHR),imeanza kusikiliza kesi ya ukiukwaji wa mkataba…
Mahakama ya Afrika yaipiga nyundo Tanzania
Na Seif Mangwangi, Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya Watu na Haki za Binaadam (AfCHPR), imeiamuru Serikali ya Tanzania kufanyia mabadiliko…
Mahakama ya Afrika yataka wanawake na watoto kwenye vita walipwe fidia
Na Seif Mangwangi,Arusha MAHAKAMA ya Afrika ya watu na haki za binaadam (AFCPHR), imezitaka nchi wanachama wa Mahakama hiyo kuiga…
Kukosekana kwa Ulinzi wa watoa taarifa kikwazo cha mapambano dhidi ya Rushwa Afrika
Na Seif Mangwangi, Arusha BARA la Afrika linaelezwa kuwa bado linakabiliwa na changamoto kubwa ya ulinzi wa watoa taarifa na…